Habari

ASENAL YAUNGANA NA GALATASARAY KATIKA VITA YA KUMWANIA BEKI JASON DENAYER WA MAN CITY

on

TIMU ya Arsenal inasemekana
kuingia katika vita dhidi ya Galatasaray, ikimwania beki wa Manchester City, Jason
Denayer.

Gazeti la The Sun liliripoti
juzi kwamba hatua hiyo imekuja baada ya staa huyo mwenye umri wa miaka 21 kuwa
na mpango wa kutaka kurejea nyumbani kwao Uturuki kwa mkopo.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *