Habari

MARIO GOMEZ AMPA NAFASI BENTEKE WESTHAM UNITED

on

UAMUZI wa Mario Gomez kuitosa
Besiktas ya Uturuki, umeilazimisha klabu hiyo kuungana na Westham United na
Everton zinazochuana kuwania saini ya mshambuliaji Christian Benteke.

Taarifa kutoka Uturuki zinasema
kuwa, miamba hiyo imeingilia kati usajili wa Benteke baada ya mshambuliaji huyo
mahiri wa Ujerumani kuamua kuondoka Uturuki.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *