Habari

AC MILAN YAJIPANGA KUMNG’OA THIAGO SILVA PSG NA KUMREJESHA SAN SIRO

on

KLABU ya AC Milan inataka kumrejesha
beki wao wa zamani Thiago Silva ambaye hivi sasa anakipiga PSG.

Ikiwa mpango huo utakamilika, nyota huyo
atarejea jijini San Siro ikiwa ni miaka mine imepita tangu alipohamia. Paris

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *