Habari

JOHN TERRY NJE YA UWANJA SIKU KUMI

on

NAHODHA wa Chelsea, John Terry,
35, atakuwa nje ya uwanja kwa siku 10 kufuatia kuumia enka katika sare ya 2-2
dhidi ya Swansea hivyo hataweza kuivaa Liverpool kwenye mechi yao ijayo.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *