Habari

SALIF DIAO AITAKA LIVERPOOL KUMSAIDIA SADIO MANE

on

MCHEZAJI wa
zamani na kiungo wa timu za Senegal na Liverpool, Salif Diao ameiambia timu
yake ya zamani kwamba inapaswa kumsaidia Saidio Mane kurejea katika hali yake
ya kawaida baada ya kukosa mkwaju wa adhabu ambao uliisababishia timu yake ya
Senegal kuondolewa katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika nchini Gabon.
Mane alivunjika
moyo baada ya kukosa penati muhimu katika robo fainali dhidi ya mahasimu wao
timu ya Cameroon.

Diao amesema
kwamba kuna haja ya kuwa na mtazamo chanya juu ya kushindwa kwa timu ya Senegal
na sio kumfanya mane kuwa ndio mchawi wao.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *