Habari

MAN UNITED YAJIANDAA KUUNUNUA MKATABA WA ROONEY ULIOSALIA ILI ASEPE AKIWA HURU

on

IMEBAINIKA
kuwa klabu ya Manchester United inajiandaa kuununua mkataba wa muda uliobaki wa
nahodha na mshambuliaji wao, Wayne Rooney.

Mshambuliaji
huyo mwenye miaka 31, amepoteza makali yake na United inaona katika kumtunzia
heshima ni kuvunja mkataba na kumuacha aondoke akiwa mchezaji huru.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *