Habari

GRIEZMANN AUCHANA UONGOZI WA ATLETICO MADRID AKISEMA ANATAKA KUSEPA ZAKE MAJIRA YA JOTO

on

MSHAMBULIAJI Antoine Griezmann
ameuambia uongozi wa Atletico Madrid kuwa anataka kuondoka majira ya joto baada
ya kuchoshwa na maisha ya Hispania.
Manchester United wamekuwa
kwenye harakati za kumsajili mchezaji huyo wa kimataifa wa Ufaransa na huenda
akatua kwenye kikosi hicho cha kocha Jose Mourinho msimu ujao.

Griezmann amekuwa akiuliza mara
kwa mara taaifa za Manchester United kupitia kwa rafiki yake mkubwa, Paul
Pogba.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *