Habari

MWADUI FC KUINGIA KAMBINI MWISHONI MWA WIKI KWA AJILI YA MAANDALIZI YA LIGI

on

WAKATI timu kadhaa zikiwa
zimeingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania bara, kwa upande
wa Mwadui FC wanatarajia kufanya hivyo kati ya mwishoni mwa wiki au wiki ijayo.
Kocha wa kikosi hicho, Ally Bushiri alisema kuwa ndani ya siku chache hizi atawakusanya vijana wake kuingia kambini
rasmi.
“Kati ya mwisho wa wiki au wiki
ijayo tutakuwa tayari tuko kambini kwa ajili ya kujifua ambapo kama muda
ukiwepo wa kutosha tutacheza michezo kadhaa ya kirafiki.”

“Kwa upande wa usajili bado
tuko kwenye mazungumzo na wachezaji kama watatu hivi na mambo yakienda sawa
watasaini kuitumikia Mwadui kwa msimu ujao,” alisema.

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *