CHRIS HUGHTON AWA KOCHA WA KWANZA ‘MWAFRIKA’ KUTWAA TUZO YA KOCHA BORA WA MWEZI PREMIER LEAGUE

on

Kocha  wa Brighton & Hove Albion,  Chris Hughton amekuwa kocha wa kwanza mweusi kutwaa tuzo ya kocha bora wa mwezi katika historia ya Premier League.

Chris Hughton mwenye umri wa miaka 59, ametajwa kuwa kocha bora mwezi Februari hiyo ikiwa ni baada ya kuinyofoa timu yake kwenye ukanda wa kushuka daraja kwa kutwaa pointi saba katika michezo mitatu ya mwezi huo.

Brighton & Hove Albion ilizoa ushindi kwa West Ham kabla ya kupata sare dhidi ya Stoke City na baadae kuichapa Swansea.

Left to right: Ben Roberts (goalkeeper coach), Paul Trollope (assistant manager), Chris Hughton and Paul Nevin (first-team coach) pose with the Manager of the Month award

Hughton claims the award for the first time, becoming the first black coach in the process

 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *