Michezo

JUVENTUS YASUBIRI KUMTWAA JACK WILSHARE WA ARSENAL BURE

on

Miamba ya Italia Juventus inajiwinda kumyakua kiungo Jack Wilshare wa Arsenal.

Nyota huyo wa kimataifa wa England mwenye umri wa miaka 25, hivi karibuni alifichua kuwa hakuna maendeleo juu ya mjadala wa mkataba mpya Arsenal, hali ambayo inaweza kumfanya awe mchezaji huru kiangazi kijacho.

Upo uwezekano mkubwa wa Wilishare akaamua kuitosa klabu hiyo kutokana na kusuasua huko kwa mkataba wa dili jipya Emirates na tayari AC Milan nayo imeonyesha nia ya kuwania saini yake.

Jack Wilshare huenda akatimka Arsenal

Arsene Wenger has endured a tough time as Arsenal boss lately (John Walton/PA)

Comments

comments

About Saluti 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *