Habari

KOCHA TIMU YA TAIFA UFARANSA ASEMA POGBA HANA FURAHA OLD TRAFFORD

on

Paul Pogba “hawezi kuwa na furaha” na maisha ya Manchester United, anaeleza kocha wa timu ya taifa ya Ufarsansa Didier Deschamps.

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25, anahangaika kudhihirisha thamani yake ya pauni milioni 89 ambazo United ililipa kwa Juventus kiangazi cha 2016.

Deschamps amemtaja Pogba katika kikosi cha Ufaransa kwaajili mechi mbili za kirafiki dhidi ya Colombia na Urusi.

“Nina uhakika nitasikia mengi kuhusu yeye. Lakini ukweli ni kwamba hawezi kufurahia maisha ya United”.

 

 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *