Michezo

PICHA 6 ZA MANCHESTER CITY WAKITUA ABU DHABI NA KUIKIMBIA BARIDI YA ENGLAND

on

Manchester City ambao ni miujiza tu itawanyima ubingwa wa Ligi Kuu ya England, wamelikimbia baridi la Ulaya na kutua Abu Dhabi kwa kambi ya muda mfupi kwenye hali ya joto.

Kufuatia ushindi wao dhidi ya Stoke kwenye dimba la bet365 Stadium ambao unawaweka kwenye nafasi ya kutwaa taji la Premier League iwapo watashinda mechi zao mbili zijazo, waliwasili huko Mashariki ya Mbali Jumanne hii.

City wana mapumziko ya siku 18 kwenye michuano yote na hii ni baada ya kutolewa na Wigan kwenye mzunguko wa tano wa FA Cup.

Wachezaji wa Manchester City wakishuka kwenye ndege baada ya kuwasili Abu Dhabi

Kevin De Bruyne wheels his luggage along the corridor after touching down in Abu Dhabi 

Defender Danilo and Ilkay Gundogan walk through the pristine airport after arriving

 

Comments

comments

About Saluti 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *