Audio

NEW AUDIO: HII NDIO NGOMA MPYA YA TARSIS MASELA “JUU YA MAPENDO” …Dully Sykes ndani

on

Ule wimbo mpya wa mwimbaji nyota wa dansi Tarsis Masela unaokwenda kwa jina la “Juu ya Mapendo” ndiyo huu hapa mbele ya macho yako ukiwa katika mfumo wa audio.

Ndani ya wimbo huo mtamu, Tarsis Masela amemshirikisha staa wa bongo fleva Dully Sykes.


 

Comments

comments

About Saluti 5

Recommended for you

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *