Muziki

MAZISHI YA RAMA KARENGA WA TOT NI KESHO SAA 7 MCHANA MAKABURI YA KISUTU DSM …msiba uko Mwananyamala Kisiwani

on

Mazishi ya mpiga solo  wa kundi la Tanzania One Theatre (TOT) Rama Karenga  aliyefariki dunia leo asubuhi, yatafanyika kesho Jumanne saa 7 mchana jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa TOT, Gasper Tumaini ameiambia Saluti5 kuwa Rama Karenga atazikwa katika makaburi ya Kisutu, makaburi ambayo ndiko alikozikwa baba yake mzazi – Shem Karenga.

Tumaini amesema msiba uko Mwananyamala Kisiwani katika nyumba aliyokuwa akiishi marehemu Rama Karenga.

Comments

comments

About Saluti 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *